Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Huwa wanacheza Usa kama Vile timu za wales zimavyocheza EPL.Canada [emoji1063] Nasikia Hata Ligi Nchini Kwao Hakuna
Kama tu nilivyompa tayari Brasil. Spain anamalizia na Japan eeh ?Draw tu inatosha kumfanya aongoze group. Maana zile team 3 zingine zilishapoteza mchezo mmoja.Eeh! Ushampa Namba Moja Kabisa Spain
Umeme ukikatwa hauchukui nusu saa kwa eneo naloishi mimi ila nadhani..Dom.nzima haina shida
Usitegemee mkopo kwa jirani kuendesha familia yako!!?Morocco loading... ningefurahi kama na tunisia angepita dah denmark hovyo kabisa
Tutafunga yeyote anayekuja mbele yetu bila kujali ni naniIla Morocco bora wawe wa kwanza.Maana wakiwa wa pili wanakwenda kutana Na Spain.
Mbona wana ligi yao, hawako MLSHuwa wanacheza Usa kama Vile timu za wales zimavyocheza EPL.
Wewe ndo hauna mzuka
Ndio wameruhusu goal la kwanza tangu waanze.Morroco vipi tena
Duh,nimepitwa maana nimeswitch naangalia Croatia Ubelgiji.Canada 1-2 Morocco
ningefurahi kama na tunisia angepita dah denmark hovyo kabisa
Kwa sasa zipo ChampionishipHuwa wanacheza Usa kama Vile timu za wales zimavyocheza EPL.
Wtf Akifungwa?Kama tu nilivyompa tayari Brasil. Spain anamalizia na Japan eeh ?Draw tu inatosha kumfanya aongoze group. Maana zile team 3 zingine zilishapoteza mchezo mmoja.