Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Umeona eeh.Maajabu ya football.Wakikaa vibaya linarudi lile Moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh.Maajabu ya football.Wakikaa vibaya linarudi lile Moja
Cardiff city, Swansea cityKwa sasa zipo Championiship
Saloon na bar tuKwamba Sinza inaviwanda na makazi zaidi ya Dodom yote??
Uyo jamaa unavyomuona ni Mimi enzi zangu[emoji16]Hiki Kidume Chenye Upara cha Morocco [emoji1173], Ni Mpira Kazi
Kwamba Sinza inaviwanda na makazi zaidi ya Dodom yote??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanazeeka na utam waoWazee hao
So kweli anasave sana jamaaDegea angeshaichomesha spain
Wap huko[emoji1787]Asante tanesco siku ya 2 Leo hatuna umeme
Viva Morocco [emoji91][emoji91][emoji91]
Jamaica anafanya nn hapo no 6Baada ya kuwa wa kwanza kwenye CONCACAF.
View attachment 2432827
Dada haendani na mfumo mpira wa sikuizi kazi ya goal keeper sio ku save tu bali ni kuchezaSo kweli anasave sana jamaa
Amemaanisha aina ya simScreenshot ya kawaida tu hiyo, hiyo pixel hata sijui ni ngapi
Adi niliogopa kumuuliza lugha gongana[emoji16]Amemaanisha aina ya sim
Hapa anazungumziwa amrabaat nini?Uyo jamaa unavyomuona ni Mimi enzi zangu[emoji16]
Mwenyekiti wa majobless Jamii forum unajipoza kwa football baada ya mkando mzito mithili ya ndoige toka kwa utumishi au sio ,,
Hapo sawa[emoji16]Ku supply bange[emoji16]