Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Belgium afanye hata ndege ya saiv waondoke wakapumzke nymbn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚁Huyu raisi wa fifa nimemuona kwenye game ya Morocco sasa hivi tena namuona kwenye game ya Ubelgiji. Imekuwaje?
Inastahili. Wana vipaji, Mabingwa wa CAFCC, CAFCL, CAFCLW wanatoka hukoMorocco team ya kwanza kuongoza kundi kutoka Africa, tokea world cup ianze kwa mara ya kwanza. Wameandika historia.
Si KWELI mkuuMorocco team ya kwanza kuongoza kundi kutoka Africa, tokea world cup ianze kwa mara ya kwanza. Wameandika historia.
Hongera sn kwao.Morocco team ya kwanza kuongoza kundi kutoka Africa, tokea world cup ianze kwa mara ya kwanza. Wameandika historia.
Tena kundi gumu lenye timu zenye rank ya juuMorocco team ya kwanza kuongoza kundi kutoka Africa, tokea world cup ianze kwa mara ya kwanza. Wameandika historia.
KaniudhiLukaku ni mchezaji kweli?sitaki kuamini