suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
How does that help.Team ilihitaji ishindi.OvaaaaaSii angalau kaingia yeye boli lilibadilika kabla walikuwa wanarukanruka tuu.
Kweli kakosa magoli but atleast he got into the ryt positions.
Walishatoka....tugange yajayoHow does that help.Team ilihitaji ishindi.Ovaaaaa
Huyo huyo lukaku akikutana na brazili anawakalisha
Sasa unachek game ambayo unajua kabisa matokeo vibe linatoka wapWewe ndo hauna mzuka
Tukutane saa 4 mkuuWewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezo
Angalia UJerumani anacheza na nani (Nguvu na udhaifu wa Costa Rica)
Pia angali Japan anacheza na nani? Spain ana pts 4 hizo hazitoshji kumpa usalama, Costa Rica na Japan wakishinda Spain anaachwa na hayuko tayari kufanuya hivyo. So Spain leo lazima amfunge Japan na Ujerumani ni lazima amfunge Costa Rica, Mpira unamalizwa kwa staili hiyo
Unataka nini zaidi
- Spain pts 7
- German pts 4
- Japan pts 3
- Costa Rica pts 3
Hawafiki wapi wakat wapo airport sshv kurud kwao BelgiumBelgium hakuna timu.... Hawafiki popote kwenye Holi Kombe
Sio kweli Nigeria 1998 waliongoza na Cameron 1994 waliongoza get your records correct bibieMorocco team ya kwanza kuongoza kundi kutoka Africa, tokea world cup ianze kwa mara ya kwanza. Wameandika historia.
Ndio waende tu wakachome mahindi wajinga haoHawafiki wapi wakat wapo airport sshv kurud kwao Belgium
Hii comment imenichekeshaHawafiki wapi wakat wapo airport sshv kurud kwao Belgium
Asante.Niliandika tu hewani.Sio kweli Nigeria 1998 waliongoza na Cameron 1994 waliongoza get your records correct bibie
Jmn dah nampenda kinyamaKDB ni kisinda wa ulaya hana maajabu
Ulijua ubeligiji wata sare?Sasa unachek game ambayo unajua kabisa matokeo vibe linatoka wap
Hili kundi la Moroco ndo Kundi dhaifu kuliko makundi yote katika world cup hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia sisi chelsea tunajenga timu. Suburb msimu ujao unaeza lia nakwambiyaNani atatufunga?that's why Chelsea mnagongwa sana season hii imagine mlitoa hela ya kumnunua Lukaku
Towa huu utumbo hapa burazili hafiki popote michuano hii,Route to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Hapa kama hujaongea kimahaba(subjective) basi tu nashindwa kucommentSasa unachek game ambayo unajua kabisa matokeo vibe linatoka wap
Hili kundi la Moroco ndo Kundi dhaifu kuliko makundi yote katika world cup hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempendea nn aisee[emoji41][emoji41]Jmn dah nampenda kinyama
Sio Argentina pekee, Bali timu nyingi za ulaya kama vile Poland, Portugal, austaria...Ajentina akikutana na moroko lazima akae