Hawezi kumfanyia mzungu mmagharibi mwenzie. Ni ubora tu wa Japan
Spain na Germany watoke.Spain wanafix match ili kukwepa Brazil na Argentina.Unataka Japan na Spain watoke mkuu
Anawakwepa Brazil na Argentina.
Bora afungwe watoke wote.Maana Spain anafanya kusudi ili ashike number 2.Ujerumani naye anataka afungwe ili watoke wote na spain [emoji16]
Mpira una maajabuMara Japan kashinda na Costa Rica kashinda [emoji3]
Vigogo Spain na Germany nje
Mungu asaidie ,Costarica waongeze la pili
Hao hawamwogopeshi. Maana kakutana nao mara kibao.Anawaogopa Argentina na Brazil zaidi.Maana kumbuka akiwa number 1 atakutana na Croatia. Then Robo final ni Brazil.Kule atakutana na portugal, England, France maybe Germany what if kama Costarica atamfunga Germany.
Ila hii ngumu mkuuUjerumani naye anataka afungwe ili watoke wote na spain [emoji16]
Inabid utoke kwa 100% hapo umetoka kwa 85% kwaio nibaooJapan Kings of comeback
Ila ule mpira ulitoka aisee