Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kule atakutana na portugal, England, France maybe Germany what if kama Costarica atamfunga Germany.
Hao hawamwogopeshi. Maana kakutana nao mara kibao.Anawaogopa Argentina na Brazil zaidi.Maana kumbuka akiwa number 1 atakutana na Croatia. Then Robo final ni Brazil.
 
Back
Top Bottom