vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Anawakwepa Brazil na Argentina.
Kabisaaaa mkuuuuGermany hatoboi
Hamna bwana hizo huko bongo hapa spain akimbwela costa rica akashinda spain anatoka so atleast apate drawSpain na Germany watoke.Spain wanafix match ili kukwepa Brazil na Argentina.
Hawa Germany nao wajinga,si wawachie Costarica ashinde,ili Spain nae atoke?
Kwani wao hawataki kwenda mtoano. Wee spain walikufanyaga nini?Hawa Germany nao wajinga,si wawachie Costarica ashinde,ili Spain nae atoke?
Wana piga hesabu mfano wakishinda na japani akifungwa wao wanapitaHawa Germany nao wajinga,si wawachie Costarica ashinde,ili Spain nae atoke?
Spain kurudisha ilo goal aombe Mungu.Spain wana force so poa
Hili kundi aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mikeka imaenda na kurudi.
Germany wataua hawa watoto
Itapendeza na costa rica aongeze kimokoSpain kurudisha ilo goal aombe Mungu.