Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Germany amuharibie spain aachie magoli afungwe watoke woteGermany anatoka kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Germany amuharibie spain aachie magoli afungwe watoke woteGermany anatoka kiume
Hii kitu kuhusu Spain kutaka nafasi ya pili nilikiandika hata kabla mpira haujaanza. Hizo habari za ndani kabisa zilivuja kutoka kwenye kambi ya Spain.Huyu sister kuna vitu anaongea kwa uhakika wakati havina mantiki. Ufix game kurisk nafasi yako ya kufuzu?
Hvyo hvyo namm achie waondoke wote
Nakubaliana na wewe[emoji41]Hii kitu kuhusu Spain kutaka nafasi ya pili nilikiandika hata kabla mpira haujaanza. Hizo habari za ndani kabisa zilivuja kutoka kwenye kambi ya Spain.
Germany anatoka kiume
Sahih wan wanavuna walichopanda[emoji16][emoji16] aliyekufa kafa tu mkuu, msiwafariji hao wazee wa marangirangi ya ushori
Mnooo yani wale wana roho mbaya ni natureUjeruman kazingua sana angefungwa tu
Nipe maendeleo mkuuSaa 4 ndio hii, maendeleo vipi?
Watajilaumu.Mwenzao kafanya mahesabu yake vizuri.Kaukwepa upande wa Argentina na Brazil.Ujeruman kazingua sana angefungwa tu