Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawa spain hawezi kucheza nao?Watajilaumu.Mwenzao kafanya mahesabu yake vizuri.Kaukwepa upande wa Argentina na Brazil.
Kwanin[emoji41]Hapa germany anahitaji goli sita zingine ili apite yan amfunge costarica 10:2
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefanya kusudi,mpango wao ulivuja wa kutaka nafasi ya pili,hata waandishi wa habari walimuuliza Luis Enrique, akakataa.Ila lisemwalo lipo.Spain hii timu ndio watu wanaipa nafasi kuchukua kombe utoto mtupu😀😀😀😀😀😀😀
Spain yuko nafas ya pili sababu ya goal differenceKwanin[emoji41]
Spain akidraw Japan outGermany wamejitoa muhanga kuwapitisha spain pumbavu kabisa huruma gani hii
Ni dugu moja, hao wengine wanatoka mabara tofauti na waoGermany wamejitoa muhanga kuwapitisha spain pumbavu kabisa huruma gani hii
Spain ni mbwa kabisa na kama wamefanya hivi makusudi wakiamini Morocco ni kitonga hawataaminiWamefanya kusudi,mpango wao ulivuja wa kutaka nafasi ya pili,hata waandishi wa habari walimuuliza Luis Enrique, akakataa.Ila lisemwalo lipo.
Spain wanafanya makusudi, wamemuonesha Enrique anawaambia wachezaji matokeo ya Ujerumani.Spain German wote wabovu 😅😅😅😅😅😅
Hili lisitokeeSpain akidraw Japan out
Wanakwepa wing yenye Brazil na Argentina. Hawamwogopi Croatia.Spain wanafanya makusudi, wamemuonesha Enrique anawaambia wachezaji matokeo ya Ujerumani.
Wanamkwepa Croatia.
Jipe matumaini Spain [emoji633] imebaki jina tu hakuna kitu subiri uone game ya Morocco [emoji1173] ntakushtua wanachojua ni kupiga paso 1000 that's itWanakwepa wing yenye Brazil na Argentina. Hawamwogopi Croatia.
Spain wanafanya makusudi, wamemuonesha Enrique anawaambia wachezaji matokeo ya Ujerumani.
Wanamkwepa Croatia.