computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
That's why unashangilia Manchester City hatushangai ina maana kwa akili yako timamu Costa Rica angeshinda ingekuwaje?au unataka kusema Spain kamuhonga Costa Rica?hivi kwa nini baadhi yenu akili zenu mnaacha Toilet?Hata Kama ni wewe Argentina, Brazil na moroco Nani kibonde .....spain kafuata plan zake ....
Hiyo German kavuna alichopanda
Spain wamepiga hesabu ndefu kweli kama watapita 16 bora
Wagongwe tuMorroco inawagonga hawa
Morocco hakuna namna... wachana na hao watu wa upindeSiku ya Spain na Morocco sijui ntakua timu gani
Spain wapo overrated na zile pasi zaoHii game ya Spain ni fixed
Kesho natarajia pia sapraiz
Mpr una emotions Mby sana asee[emoji23].. Yan kama sio ufala wa Costa Rica wamefunga hlf hawana nidhamu ya kucheza kama Japan kwa nidhamu kulinda ushind leo stry ingekua nzr sana kundi ambao Walikuwepo Giants wote nje.Watu wanatamn kulia si kulia, kucheka si kucheka. Wachezaj nguvu zimewaishia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hao wild dogs ni balaaHardwork beats talent
Hahaha nakumbuka sanaMkuu unakumbuka jana, vile waliibeza Argentina na kisema eti hatujakutana vigogo kama Germany na Spain.
[emoji16][emoji1787][emoji16][emoji1787]hawo vigogo wao wanatuogopa wenyewe
On the road to success there are no shortcuts.Hardwork beats talent
Wewe fala mpira umeaangalia kweli ,mpaka HT Spain anaongoza na kocha was Spain alikuwa anaangalia matokeo ya German ,so alipiga hesabu GD na dakika zilizobaki ,akajua German hawezi wafikia akalegeza gia ,Japan wakafunga na kuongoza ...That's why unashangilia Manchester City hatushangai ina maana kwa akili yako timamu Costa Rica angeshinda ingekuwaje?au unataka kusema Spain kamuhonga Costa Rica?hivi kwa nini baadhi yenu akili zenu mnaacha Toilet?
Costa rica walishafeli baada ya kukubali saba bila majibu!Mpr una emotions Mby sana asee[emoji23].. Yan kama sio ufala wa Costa Rica wamefunga hlf hawana nidhamu ya kucheza kama Japan kwa nidhamu kulinda ushind leo stry ingekua nzr sana kundi ambao Walikuwepo Giants wote nje.
Ndo maana nikauliza Costa Rica walinywesha nini??? Maana ndani ya box kafika mjeruman...wanacheza kama rede wanajigeuza upande kukwepa dei...like what the heckMpr una emotions Mby sana asee[emoji23].. Yan kama sio ufala wa Costa Rica wamefunga hlf hawana nidhamu ya kucheza kama Japan kwa nidhamu kulinda ushind leo stry ingekua nzr sana kundi ambao Walikuwepo Giants wote nje.
Wajerumani tujuane mapema sana, mwaka wetu huu