Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sema Germany vilaza.Wagelegeza wakatoka wote.
19352210-36E1-4E62-ABF3-CA75DC9DF9C8.jpeg
 
Wewe fala mpira umeaangalia kweli ,mpaka HT Spain anaongoza na kocha was Spain alikuwa anaangalia matokeo ya German ,so alipiga hesabu GD na dakika zilizobaki ,akajua German hawezi wafikia akalegeza gia ,Japan wakafunga na kuongoza ...

Huwezi elewa kijana ....tulia ...

Mpira NI akili hakuna kubebana vitani
Eheeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naishia hapa hapa kucomment kwako
 
Nilisema katk Uzi wangu kuwa ujerumani atavuna alichopanda yoyote anayesapoti ushoga wasi wasi Hana nafsi katk world cup

Kweli mkuu hata Saudi Arabia na Qatar na Belgium nao walisapoti ushoga ndomana wametoka
 
Back
Top Bottom