James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
[emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila natamani akapigwe na Morocco.Final whistle
Costa rica 2-4 German
Hongera kwa japan na spain kwenda next round
Spain amepanga matokeo
Nawatakia waende Hadi nusu kbsaNimefurahi sana kumwona Japan kafuzu kwenda round ya 16
Hahaha nakumbuka sana
Basi ntakua Morocco hamna namnaMorocco hakuna namna... wachana na hao watu wa upinde
Sema Germany vilaza.Wagelegeza wakatoka wote.Spain kama kamfanyia makusudi Germany ili atoke
Kwani IPO uko kwani si IPO ulaya kwa kina lefuranceHii WC inarudi South America kabisa, i feel it
October 13Nina mashaka na kikosibcha Jose Enrique. Wana kikosi kizuri sana cha vijana, wana muunganiko mzuri, wanacheza mpira safi tatizo kubwa la kikosi hiko ni washambuliaji.
Kwa kumtegemea Morata sidhani kama wanaweza wakafika mbali
Sema Germany vilaza.Wagelegeza wakatoka wote.
Spain ni timu mbovu sijawahi kuona wamejichokea kama kuku anayetagaNipe maendeleo mkuu
hii mechi ya Japan na Hispania haina hta radha..
Ndio wameongoza group hao.Hao Japan walishindwa tumia nafas yao game ya Costa Rica kufuzu ngj warud kwao wakafanye shughuli za kiuchumi tu.
Eheeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naishia hapa hapa kucomment kwakoWewe fala mpira umeaangalia kweli ,mpaka HT Spain anaongoza na kocha was Spain alikuwa anaangalia matokeo ya German ,so alipiga hesabu GD na dakika zilizobaki ,akajua German hawezi wafikia akalegeza gia ,Japan wakafunga na kuongoza ...
Huwezi elewa kijana ....tulia ...
Mpira NI akili hakuna kubebana vitani
Kweli mkuu hata Saudi Arabia na Qatar na Belgium nao walisapoti ushoga ndomana wametokaNilisema katk Uzi wangu kuwa ujerumani atavuna alichopanda yoyote anayesapoti ushoga wasi wasi Hana nafsi katk world cup
Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili...www.jamiiforums.com