MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Hivi Mnakuaga Serious? Makusudi Ipi Kafanya? Ndio Uwezo Wake UlipoishiaSpain kama kamfanyia makusudi Germany ili atoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mnakuaga Serious? Makusudi Ipi Kafanya? Ndio Uwezo Wake UlipoishiaSpain kama kamfanyia makusudi Germany ili atoke
They deserved this. Siasa wakafanye kwao
Sasa Kama German mapunga timu za afrika mashariki ni nini maharage au choroko?Mapunga wale mkuu hamna wanaume mule
Wazee wa kufunga midomo ss wanaweza funga tu vzr wakiwa kwny ndege kuelekea Munich.They deserved this. Siasa wakafanye kwaoView attachment 2433046
mkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...Wakati ule spain walikuwa wanashambulia na Japan walikuwa wanaokoa, ila dakika za mwisho spain walikiwa wanapiga piga tu pasi za pembeni.
Hii angle ya juu
Netherlands, Argentina, Japan, Senegal, France, Morocco hawa ndio nawaona wakienda robo fainali ila hao wengine wapo overhyped hawana ubora mzuri hasa hasa ktk finishing wakiongozwa na Spain.
Watu hawataki kuamini Kwamba Japan leo kamzidi m spanyola... Wanatafuta kauchochoro ka kumpitisha😂😂 Japan kanifurahisha Sana leoHivi Mnakuaga Serious? Makusudi Ipi Kafanya? Ndio Uwezo Wake Ulipoishia
Ni kweli mkuu wait nitafute video nikuoneshe nilichokiona mimimkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...
wale ni typical barcelona, hawanaGa plan B........
Japan waliziba njia za kupitisha mpira, spain wakawa hawaoni pa kupita ndio wanaanza kupiga mapasi kuwavuta.....
Wakatoka Nje Uwanja? Mnapenda Kuropoka [emoji16]Spain wameacha kucheza dakika ya 75.Baada ya kujua watashika nafasi ya pili.
Wengi ni Mashabiki Wa Msimu, Na Wale wa KubetKuna watu walisema eti Mwarabu alininua ile game na Muagent,kwa hiyo na Japan wamenunua game zote mbili? Kuna watu wana mawazo finyu sana,kombe la dunia mwaka huu ni tofauti na yaliyopita
Naamini jamal musiala na antonio rudiger hawaelewi wanachokifanya maana wameenda mpaka hijah halafu wanatetea upuuzi ule.They deserved this. Siasa wakafanye kwaoView attachment 2433046
Tumia akili basi.Wakatoka Nje Uwanja? Mnapenda Kuropoka [emoji16]