The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wanaziba midomo ila wanaachia nyuma!!They deserved this. Siasa wakafanye kwaoView attachment 2433046
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaziba midomo ila wanaachia nyuma!!They deserved this. Siasa wakafanye kwaoView attachment 2433046
mkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...
wale ni typical barcelona, hawanaGa plan B........
Japan waliziba njia za kupitisha mpira, spain wakawa hawaoni pa kupita ndio wanaanza kupiga mapasi kuwavuta.....
Hivi nyie ndio Huwa wachambuzi wa Michezo wa nchi hii?? Hopeless kabisaaGame ya Spain ilikuwa fixed.
Lengo tu akutane na Morocco amchabange atoke
Cameroon mtanisamehe tu sisi Brazil hatutak kupoteza hata point 1 tutawapiga kipigo cha NDOIGE [emoji91][emoji91][emoji91]
Germany ndio alikuwa na uwezo kuharibu ishu ya Spain.Spain kama kamfanyia makusudi Germany ili atoke
Kitulize! Mmegaragazwa!Tumia akili basi.
wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?
tuacheni utani, japan wameshinda kihalali, spain alizidiwa kabisa na so far akikutana na watabe atatolewa
Watu wanaodhan Spain kapata unafuu hawajawaona Morocco.. Spain iyo game anaweza omba abadilishiwe apewe ya Croatia sik iyo.Netherlands, Argentina, Japan, Senegal, France, Morocco hawa ndio nawaona wakienda robo fainali ila hao wengine wapo overhyped hawana ubora mzuri hasa hasa ktk finishing wakiongozwa na Spain.
Spain na England wamedandia mitumbwi ya vibwengo. Hasa hasa Spain wanakwenda kucheza na timu imara sana ktk michuano hii. Japan kalamba dume kucheza na Croatia, nawaonea huruma sana Spain kuangukia mikononi mwa timu bora ya hii michuano so far.
Yan kiherehere cha Germany ndo kimewaponza wao wangejua wenzao walikua hawasumbuki kbs na wao wangekufa nao ili wote waingie kwny headlines kua wametoka Pa1 na Belgium.Drama in the WC.
What a group!!! Spain aliyeshinda goli 7 kwa nunge, leo hii amepita kwa tofauti ya magoli.
Dk ya 71, Spain na Germany zilikuwa out.
Germany bila kujua akajitia kiherehere kushinda huku akimtegemea Spain kudroo[emoji3][emoji3][emoji3]
Si kajua hajui, Spain karelax kalinda lose yake huku akiwa na faida ya magoli.
Kumtegemea jirani ni vigumu sana, umemkost Tunisia na Sasa Germany.
Kuna mwamba Twitter ilipofika dk ya 85 na ikaonekana hakuna uwezekano wa Spain kudroo, akasema bora Germany wajifunge goli 3 ili watoke pamoja na Spain[emoji3][emoji3]
So far, hili group limetia fora
Ghana katk kosa watalifanya kwend na Mentality ya Draw watatoka.. Wacheze kutafuta ushindi draw sio ki2 cha kutafuta sik zote utafungwa ubak unalia kama mbwa mwitu.Ghana tuitafute droo tu, hata Korea akishinda tutamtoa kwa H to H
Kuna uwezekano Fainali ya 1998 kati ya France vs Brazil ikajirudia, lakini awamu hii Brazil hii hii akainua kombe juu.Iyo mkuu kutokea itakua ngumu sana sana.
Na wao wajue sio rahis m1 hapo anaweza shangazwa akajikuta yuko nymbn anakula viazi na wajukuu.Kuna uwezekano Fainali ya 1998 kati ya France vs Brazil ikajirudia, lakini awamu hii Brazil hii hii akainua kombe juu.
Pia, Favouritism ikitokea itaiua Ghana, kitu ambacho ni kibaya kwenye soccer. Hii Mechi itachezeshwa na Muamuzi kutoka ulaya, mostly Mjerumani au Mfaransa....ila unaweza ukaona wakiipendelea UruguayGhana katk kosa watalifanya kwend na Mentality ya Draw watatoka.. Wacheze kutafuta ushindi draw sio ki2 cha kutafuta sik zote utafungwa ubak unalia kama mbwa mwitu.
Wao wapambane yu mkuu washinde lkn wakienda na ujinga wa draw waturud Accra vichwa chini.Pia, Favouritism ikitokea itaiua Ghana, kitu ambacho ni kibaya kwenye soccer. Hii Mechi itachezeshwa na Muamuzi kutoka ulaya, mostly Mjerumani au Mfaransa....ila unaweza ukaona wakiipendelea Uruguay
Ni kweli ila kwa hapa historia nayo inaanza kuchukua nafasi yakeNa wao wajue sio rahis m1 hapo anaweza shangazwa akajikuta yuko nymbn anakula viazi na wajukuu.
Mpr wa karne izi team ndg hazioni tabu kukatia ticket hata ya bus la Ngorika urud tu nymbn.
Uzuri sina team yeyote zilizocheza leo na hata zitakazocheza kesho.Kitulize! Mmegaragazwa!