Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Netherlands hii hii au nyingine? Netherlands iliyo struggle kwa ecuador ije imfunge Argentina! Ndio ni football lakin nertherlands kwa Argentina bado sio game tough kwa Argentina.Argentina ana kazi ya ziada kwa Netherland huko kwa brazil ni mbali sana hawez kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Samurai katika ubora waoJapan siwadai wamenipigia German na Spain[emoji120][emoji120][emoji120][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Duh sometimes kuna watu wanajua kujitoa akili hehehehe Netherlands [emoji1179] ipi ya kumfunga Argentina [emoji1033]?hehehehehe tuwe serious sometimesKwny hii betting yako umepatia kwa upande wa kulia kundi la France, France ataingia Fainali, ila kwa kushoto umechemsha Mzee...Argentina atafungwa na Nerthelands then Brazil atamfunga Spain....kisha Fainali zitaingia Brazil & France.
Tupo hapa
Mahips 😂😂😂Mpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.
Yawezekana kabisaGame ya Spain ilikuwa fixed.
Lengo tu akutane na Morocco amchabange atoke
Huo ni ushamba sasaNaona inajirudia kama ile ya mwaka 2014... Spain wakabebwabebwa wakapewa ushindi kisa hao jamaa wanatokea Afrika na wana asili ya kiarabu, ila Spain alipigiwa mpira mwingi sana! Na alipigwa bao zaidi ya moja wakakataa mpaka Morocco walitaka kususia mechi watoke uwanjani. Naona yanajirudia yaleyale... hawa wazungu wanatengeneza mazingira tena kwa ajili ya maslahi/faida ya watu flani flani [emoji848]
Jamaa pereche mingi katepeta.Mbwembwe zingine bana
Watanzania utawaweza. German imekuwa mabingwa Mara nne sisi hata kufuzu hatujawahi.. na hatujawahi kusapot ushoga.Acheni kujifanya manabii..USA na Germany nani kinara wa kusupport ushoga? C angetoka baba lao la ushoga (USA) asingefuzu hatua ya mtoano!!
Germany 2014 alivyotwaa kombe la dunia alikuwa hajaanza kusupport ushoga? 2018 alivyotoka hatua ya makundi alikuwa ana support ushoga? Qatar na Saudi Arabia wametoka hatua ya makundi vipi nao walikuwa wana support ushoga?
Mpira umebadilika hakuna cha ushoga wala nini
Brazil anashinda friend match Argentina anashinda Copa AmericaKatika mechi tatu za mwisho walizokutana..
Brazil kashinda mbili Argentina kashinda moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukumbuke pia Argentina iliyobondwa na Saudia ndo imfunge mholanzi?Netherlands hii hii au nyingine? Netherlands iliyo struggle kwa ecuador ije imfunge Argentina! Ndio ni football lakin nertherlands kwa Argentina bado sio game tough kwa Argentina.
Wamecheza na team ipi ngumu?Franch ina wapambanaji sana nawaona wakifika fainal
Anashinda nothing is impossibleDugu zetu katika bara Morocoo kayavaba kwa Spain kazi anayo...mbengo zitafunguka
Ngoja tutaingalia kwenye ramli kwanza ndio tuje na conclusion wajubaAnashinda nothing is impossible
Brazil ipi aisee
Dah Spain kapitaje mbwa uyo dah nimeumia sana........yan wajerumani wanapambana kwa ajili ya kumpitisha Spain aaaarrgh.......
Atawakalisha wapi, wakati wametolewa.