Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwny hii betting yako umepatia kwa upande wa kulia kundi la France, France ataingia Fainali, ila kwa kushoto umechemsha Mzee...Argentina atafungwa na Nerthelands then Brazil atamfunga Spain....kisha Fainali zitaingia Brazil & France.

Tupo hapa
Duh sometimes kuna watu wanajua kujitoa akili hehehehe Netherlands [emoji1179] ipi ya kumfunga Argentina [emoji1033]?hehehehehe tuwe serious sometimes
 
Mpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.
Mahips 😂😂😂
 
Naona inajirudia kama ile ya mwaka 2014... Spain wakabebwabebwa wakapewa ushindi kisa hao jamaa wanatokea Afrika na wana asili ya kiarabu, ila Spain alipigiwa mpira mwingi sana! Na alipigwa bao zaidi ya moja wakakataa mpaka Morocco walitaka kususia mechi watoke uwanjani. Naona yanajirudia yaleyale... hawa wazungu wanatengeneza mazingira tena kwa ajili ya maslahi/faida ya watu flani flani [emoji848]
Huo ni ushamba sasa
 
Acheni kujifanya manabii..USA na Germany nani kinara wa kusupport ushoga? C angetoka baba lao la ushoga (USA) asingefuzu hatua ya mtoano!!
Germany 2014 alivyotwaa kombe la dunia alikuwa hajaanza kusupport ushoga? 2018 alivyotoka hatua ya makundi alikuwa ana support ushoga? Qatar na Saudi Arabia wametoka hatua ya makundi vipi nao walikuwa wana support ushoga?
Mpira umebadilika hakuna cha ushoga wala nini
Watanzania utawaweza. German imekuwa mabingwa Mara nne sisi hata kufuzu hatujawahi.. na hatujawahi kusapot ushoga.
 
Netherlands hii hii au nyingine? Netherlands iliyo struggle kwa ecuador ije imfunge Argentina! Ndio ni football lakin nertherlands kwa Argentina bado sio game tough kwa Argentina.
Ukumbuke pia Argentina iliyobondwa na Saudia ndo imfunge mholanzi?
 
World cup ya teknologia ni ngumu, mikeka inachanika kama haina akili nzuri, itabidi waweke odds za je goli litamuliwa na teknolojia au la!
 
Dah Spain kapitaje mbwa uyo dah nimeumia sana........yan wajerumani wanapambana kwa ajili ya kumpitisha Spain aaaarrgh.......
 
Back
Top Bottom