Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Tunisia alipaswa endelea kabisa kutokana na mpira waliopigaAlimdunga Korea Kusini.kwa Kubahatisha,timu ya Afrika iliyotolewa kwa bahati mbaya Ni Tunisia
Yan huyo zigy leo hajatulia kbs.Zigi leo sijui kanywa....yani ghana as if kuna kitu kimewavaaa...
Hata follow up hakuwa na time nayo.Sio tu penati..bali muhimu sana..
Ayew kaipiga kichoko kweli ile penati..angepita hata Partey tu
Haya nayo haijatoka kwa bahati mbaya nayo hakuna kituAlimdunga Korea Kusini.kwa Kubahatisha,timu ya Afrika iliyotolewa kwa bahati mbaya Ni Tunisia
Ni bahati mbaya walifanya uzembe Mechi ya AustraliaTunisia alipaswa endelea kabisa kutokana na mpira waliopiga
Kweli team za Africa ni pa kuchukulia point, Uruguay katoka kote kule bila goal.Anafika kwa Ghana anajipigia tu.
Yan Ghana ni takataka sana bas tu.Hta mm hunifungi kirahisi hivyo
Yn asamoah atapumzika ss, lawama zitahamia kwa andreKile alichokipitia Gyan baada ya kukosa ile penalty ndicho anachokipitia Ayew muda huu.Inauma Sana kwa kweli.
Tunisia walijitahidi mno, wale hatuwadaiNi bahati mbaya walifanya uzembe Mechi ya Australia