Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mnaoona mechi ya Ureno aina umuhimu kumbukeni kama ghana akimfunga Uruguay goli kuanzia 3 na kuendelea uku korea akimfunga portugal goli 2 na kuendelea portugal atakuwa nafasi ya pili na ghana ataongoza kundi mahana yake ni kuwa mshindi wa pili ambae ni portugal atakutana na brazil ,sidhani kama kitu kama iko poetugal watakitaka kwenye hatua ya 16 bora[emoji1787]
Ndoto zimezimika
 
Hapo ghana wamepoteana kudus,haliduu na salisu ndy bado wapo Mchezoni
 
Mpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.
Huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom