BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Suarez anagongwa mguu anashika bega😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto zimezimikaMnaoona mechi ya Ureno aina umuhimu kumbukeni kama ghana akimfunga Uruguay goli kuanzia 3 na kuendelea uku korea akimfunga portugal goli 2 na kuendelea portugal atakuwa nafasi ya pili na ghana ataongoza kundi mahana yake ni kuwa mshindi wa pili ambae ni portugal atakutana na brazil ,sidhani kama kitu kama iko poetugal watakitaka kwenye hatua ya 16 bora[emoji1787]
Itakua Tanesco🤣Leo mbona watu mnapost comment 1 mara 2 2 kuna nini?? Mtandao au??
MtandaoLeo mbona watu mnapost comment 1 mara 2 2 kuna nini?? Mtandao au??
Yako yenyewe ipo mara mbili hapa mpendwa..!!Leo mbona watu mnapost comment 1 mara 2 2 kuna nini?? Mtandao au??
HahahaHiyo penalty imeniuma mpaka nimekosa raha jamani..!!
Anaenda kichwa kichwa 🤣Inyaki Williams kala tobo
Ile penat imewavuruga sn. Wametoka mchezoni kbs.Hapo ghana wamepoteana kudus,haliduu na salisu ndy bado wapo Mchezoni
Yaani...!!Hahaha
Pole, achana na timu za africa presha itakumaliza hatujawahi kuwa serious na mambo ya maana sisi ngozi nyeusi.
Me nafikir binafs naanza kuelewa kwnn Waarabu wa kaskazini(Morocco&Co.) wanasema wao sio waAfrica asee me binafs naelewa..Wachoyo sana hawa ghana, kila mtu anataka afunge mwenyewe
Huo ndio ukweliMpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.
Sie manyani tuu.Me nafikir binafs naanza kuelewa kwnn Waarabu wa kaskazini(Morocco&Co.) wanasema wao sio waAfrica asee me binafs naelewa..
Izi ngozi ze2 nadhan kwny mambo ya serious kbs uwa hatuko tyr kua serious enough.