Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kwahy penati tusilaumu?Nyie mnaowalaumu Ghana Embu angalien hicho kikosi cha Uruguay kwanza
Jamaa Wana watu
Africa huku kwa weusi hakuna kitu sda tunatakiwa Afrika nzima tuwekeze kwa Waarabu tu ila ngozi nyeusi ni ujinga ujingaSio tu penati..bali muhimu sana..
Ayew kaipiga kichoko kweli ile penati..angepita hata Partey tu
Wamekupa pesaYan huyo zigy leo hajatulia kbs.
Haya maghana yanataka za anakwenda, anakwenda....Uruguay wakija wamekuja hawana siasa kabisa
Shida inconsistencyTunisia alipaswa endelea kabisa kutokana na mpira waliopiga
Kwa namna navyosoma Comment naona hii ndio itapendeza zaidi na si vinginevyo.Uruguay vs Brazil ?
Uruguay vs Brazil ?
Muafrica ni mtu mbinafsi sana ssa ndio Roho zetu ni ubinafsi tuna jijali ssiWachoyo sana hawa ghana, kila mtu anataka afunge mwenyewe
Kombe hili team za africa kwa kweli zimejitahidi.Kwenye hili kombe tulikuwa na uhakika wa kupelekea timu 5 round 16