Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

This is not healthy. Usiweke izi takataka moyoni. Angalia akitoka uyo Ghana si basi. Maana kiukweli hamna kitu anafanya. Life is too..sweet to be disappointed by the choices...fools make
Daaa kwa kweli, ila tu nnavoipenda acha tu.
 
Yan Ayew ni mpumbav kiwango kingne kbs hlf me nilipoanza pata mashaka ni pale amesbr kama sekunde 30 hlf tena anaenda nasita Sita Yan nikajua izi penalty za mtindo huu uwa zina mashaka sana.
Kabisa...mi alivyokua anaenda kupiga penalty...nikajua hapa hamna kitu. Asamoah anacomment hapa anasema Ghana is not himself right now. Like Ghana...amevaa personality nyingine. Its not even playing...this is a serious game but stuff ghana is doing right now....very shitty
 
Leo hawachezi kbs, mech zao mbl walicheza vzr. Lkn leo sijui wamekumbwa na nn. Au ndo walipania sn
 
Nimemsikia hapa Yan watahitaj miracle zaid kurudisha izo goal.. Inawezekana lkn pia style yao ya uchezaj wabadilike wanacheza mpr wa ovyo.
 
Twendeni kipindi cha pili,

Lolote laweza kutokea na matokeo yakabadilika.
 
Ila Ghana na Nigeria hii ni kawaida yao kwenye WC. Wamekuwa na very disappointing moments wakti mwingine hasa mnapokuwa mnawaamini. Ayew Pele ameshusha sana moral wa wenzake. Kukosa penati ni jamba la kawaida lakini si kwa mazingira aliyokosa yeye. Hakujiandaa, hakujipanga na hakutumia skills zote kwenye kupiga penati ile. Very disappointing 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…