Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuwalaumu Ghana kwasababu wamefungwa na uruguay sio sahihi

Nilisema uko juu uruguay ni timu bora sana kuizidi ghana regardless matokeo ya uruguay kwenye mechi za awali

Ayew sr nilimkataa kabla hatujaanza hata michuano hii uwanjani anafaida chache kuliko hasara
 
Eti Ayew amenyong'onyea
Kama unasikia pumzi ya moto ndo anapumua pumzi ya moto sasahivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
TBC[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mpira siyo kikosi mbona ubelgiji wamepigwa na morocco?
Mpira ni ujanja wa uwanjani ayew kazingua kawaharibu wenzio hawako sawa kimchezo kabisa
 
Yeye alitakiwa kucheza na miguu Wala sio mikono, jamaa alitukosea Sana we acha tu
Alitukosea vp wakati aliadhibiwa na sisi tukakosa penati? Shida Afrika hatuwezi kuwajibika kwa upuuzi wetu ndo maana hata leo baada ya miaka 61 ya uhuru bado tunamsingizia mkoloni kwa sie kushindwa kujenga hata madarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…