Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kipa amedaka au mpigaji ametoa nje?I feel sorry for ayew
Kukosa tuta la muhimu km lile mbaya sana
Tunaamini ghana atasawazisha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa amedaka au mpigaji ametoa nje?I feel sorry for ayew
Kukosa tuta la muhimu km lile mbaya sana
Tunaamini ghana atasawazisha
Yaani nimekasirika sana bora bando langu baadae niangalie mechi ya Cameroon na brazilNa waafrica walivo ma gubu mbona atakoma
Duh[emoji1787]Alionekana tu km atakosa. Penat mbaya sijui aliwaza nn. Yn leo kawaangusha wenzie hlf ndo captain ss
Hao cameroon sidhani km atatoboa kwa brazilYaani nimekasirika sana bora bando langu baadae niangalie mechi ya Cameroon na brazil
Uruguay wachawi mjuee
Mpira siyo kikosi mbona ubelgiji wamepigwa na morocco?Kuwalaumu Ghana kwasababu wamefungwa na uruguay sio sahihi
Nilisema uko juu uruguay ni timu bora sana kuizidi ghana regardless matokeo ya uruguay kwenye mechi za awali
Ayew sr nilimkataa kabla hatujaanza hata michuano hii uwanjani anafaida chache kuliko hasara
Yeye alitakiwa kucheza na miguu Wala sio mikono, jamaa alitukosea Sana we acha tu
Kaharibi kila kitu ynMpira siyo kikosi mbona ubelgiji wamepigwa na morocco?
Mpira ni ujanja wa uwanjani ayew kazingua kawaharibu wenzio hawako sawa kimchezo kabisa
Nimesema tuu usichukulie serious ujueHivi kwanini waafrika tunaamini sana kwenye madawa??
Huo ni upumbavu mjue
Alitukosea vp wakati aliadhibiwa na sisi tukakosa penati? Shida Afrika hatuwezi kuwajibika kwa upuuzi wetu ndo maana hata leo baada ya miaka 61 ya uhuru bado tunamsingizia mkoloni kwa sie kushindwa kujenga hata madarasaYeye alitakiwa kucheza na miguu Wala sio mikono, jamaa alitukosea Sana we acha tu
Alimuandaa kipa kuicheza penalty ile maana amemuonesha kwa mwili na miguu kama atapiga vipi na wapi. Veery unlikely kwa professional player kama yeye.
Alimuandaa kipa kuicheza penalty ile maana amemuonesha kwa mwili na miguu kama atapiga vipi na wapi. Veery unlikely kwa professional player kama yeye