Kumbe ulimaanisha kocha, mi niliona umeandika refaNa mi nimejisemea hapa. Wana kama kaufanano flan ivi....
Kwa huu mpira mapema sana Brazil wanatikisa nyavuMpira tunaopigiwa hapa ni tusi lingine kwa waafrika
Mkuu soma tena...nimemuongelea refa..wewe ukacomment kuhusu kocha..na mi nikakusupport. Sijui umevurugwa nini mzee🌝🌝Kumbe ulimaanisha kocha, mi niliona umeandika refa
Yupo NdiyoSasa si bora wewe mimi naulizwa eeh kuna mchezaji anaitwa Jesus?! Mpira wa kuangalia nyumban tabu tupu
Umejaribu kaungalia vizuri mitambo yako kwenye hiyo 2026 sisi Tz hatupo kweli?Hadi sasa naona Brazil ana timu ya WC 2026
Sio mkuu nimekaa na watoto wa kike hapa wanaangalia ball tupo home wanashangaa mchezaji anaitwa Jesus hawamjui
Yupo ndio nadhani mkuu ameghafilika kidogo
Duuuu!Morocco imefanya vibaya? Unaweza kuilinganisha na timu ipi ya Magharibi Mwa Africa?
Yaani hata ingeenda Algeria bado wangefanya vizuri kuliko Ghana na Cameroon
Wapo serious kuliko ngozi nyeusi
GhanaPole? Timu yako uruguay?
No! Kadi Amazon chache kuliko Uruguay