Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Lete takwimu ni lini timu kutoka Africa kaskazini ziliwahi kufanya vizuri kombe la dunia kuliko timu za Africa magharibi

Hiyo kusema algeria ange...

Huzungumzi mpira unazungumza matamanio yako
Morocco imefanya vibaya? Unaweza kuilinganisha na timu ipi ya Magharibi Mwa Africa?

Yaani hata ingeenda Algeria bado wangefanya vizuri kuliko Ghana na Cameroon

Wapo serious kuliko ngozi nyeusi
 
Back
Top Bottom