Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kabisa watu wanafikir kufix mechi ni rahis tu ivo.. Sisi watu weng wa mikeka hatupend kwnd na uhalisia tunaweka mikeka kwa mazoea.Muwe mnaangalia na vikosi vinavyopangwa msije mkasema match zko fixed
Stats zinaonesha WC hii team zote game izi za mwsh zilizo jarb kubadilisha kikosi zimeambulia kichapo.
Na leo Brazil kaweka 2nd 11 yake nabsr kuona kama ilo. Litaendelea Pa1 sina iman hata kdg na Cameroon lbd wani prove wrong.