Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu weuweeeeeeeeWorld Cup Qatar 2022 Updated BracketView attachment 2433822
Morocco imefanya vibaya? Unaweza kuilinganisha na timu ipi ya Magharibi Mwa Africa?
Yaani hata ingeenda Algeria bado wangefanya vizuri kuliko Ghana na Cameroon
Wapo serious kuliko ngozi nyeusi
Nipo brother sasa niende wapi na humu ndo pananipa kicheko hahahhaha
Anazeeka vibaya yule [emoji23]
Game iliyopita alitolewa wakashinda... kinamsumbua ana ego na kujiona ni the best ambaye hajawahi kutokea duniani na hatakaa atokee Nonsense!
Cameron anaweza kumchapa Brazil leo.Japo suprise zimekuwa nyingi ila cameroon kumfunga brazil hapana asee
Hapa ndo ule msemo wa ukiwa unaenda kulipa kisasi chimba na kaburi lako. Ukishammaliza adui na wewe unakua kwishnehi...Walitakiwa wakacheze na sio kusema tunaenda lipiza kisasi, mnapewa penati mnaleta utozi
KiukweliHizi mechi ambazo kuna timu ambayo tayari imefuzu kwenda hatua inayofuata huwa hazina hamsha sana
Nipeni pole jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yasije yakatokea ya FranceCameroon akifunga brazili natembea kwa miguu mpaka qatar
Ngoja tuone mkuuGame za saa 4 usiku zinaenda kushangaza watu,kimasihara Cameroon unashangaa anapita
Huyu hadi Uwanja wa Mkapa alishacheza kipindi kile wamekuja kucheza na Stars , maandalizi ya kwenda Bondeni 2010Daniel Alves wa Brazil, nafikiri ndiyo itakuwa mara yake ya mwisho mwaka huu kucheza WC, umri umesogea sana...
Mechi ya kirafiki auWewe ni Muongo Sana Cameroon amewahi mfunga Brazil Mara 1