Acha kutafuta justification lengo ni kusifia hakuna cha me wala ke...tena mm namwambia kabisa leo naangalia mechi ya ma HB na hana bayaa.Aiseee ila wanawake bhana.
Sisi twasifia sababu kiasili ni multi
bokisaKuna jambo nimeona...sijui mmeona wenzangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo unapoona hvo ndo cameroon wamekomaa wakat brazil wanacheza km mazoezi tuuHawa Brazil wanafungika fresh tu endapo Cameroon wakiamua kukomaa
Madingi wamezidi rafuIla huyo refa Ni mwingi wa kadi Sana, Kuna mtu atakula umeme hapa