Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Martinelli
  1. maamuzi sahihi pindi anapokuwa na mpira ndio yaongoze kipaji chake.
  2. Ameathiriwa na mpira wa ulaya a.k.a. mpira wa kufundishwa ubaoni.
  3. Martinelli tayari ameshapevuka kimpira wa ushindani barani ulaya, kwa maana ana uwezo wa kufanya kazi na kocha yeyote
Antony
  1. Anaamini Kipaji chake ndio kiongoze maamuzi yake pindi anapokuwa na mpira.
  2. Ameathiriwa na mpira wa uswahilini kwao, nikiwa na maana chenga za maudhi, dribbling na vyenginevyo kwake ni jambo la kawaida haijalishi yupo phase ipi ya uwanja.
  3. Anahitaji kufunzwa zaidi ili aweze kubalanzisha kipaji na maamuzi sahihi kwa wakati mmoja mfano wa gaucho.
Mawazo ya mwanadamu anayeishi katika nchi inayotegemea umeme wa mvua za masika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…