Ah wapi hapa sii wamewekwa wachezaji mikorombokoHii Brazil yenu hii ya cute boys wasipoangalia hata South Korea watawafanya kitu mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah wapi hapa sii wamewekwa wachezaji mikorombokoHii Brazil yenu hii ya cute boys wasipoangalia hata South Korea watawafanya kitu mbaya.
Unalinga na boxa moja wakati babu bomba ndani nina chupi kibao!Vijana wa siku izi mmeacha kuvaa chupi ndio maana zimenyooka kama rula, wake zenu wanatusumbua wazee wanataka zilizopinda.
All eyes on meUnalinga na boxa moja wakati babu bomba ndani nina chupi kibao!
Ndo nyie mliimbwa na Nikki Mbishi
Ah hata kama. Hainishawishi.Ah wapi hapa sii wamewekwa wachezaji mikoromboko
Thubutuuuu. Subiri uwaone Neymar, Jr, cesemiro na Silva watakavyowasha moto.Hii Brazil yenu hii ya cute boys wasipoangalia hata South Korea watawafanya kitu mbaya.
Hawa Brazil ni wenzetu tu
Tukiacha mahaba tukasema tucheze serious mbona hawatoki
Nitajie wengine huyo Neema ubora aliuacha Barcelona sa hivi kawa faken of ze fakenThubutuuuu. Subiri uwaone Neymar, Jr, cesemiro na Silver watakavyowasha moto.
Hatari sanaUnalinga na boxa moja wakati babu bomba ndani nina chupi kibao!
Ndo nyie mliimbwa na Nikki Mbishi
Sasa hawa si washapita
Hujajua msaada wa Neymar kwa Brazil. Akishika mpira anakusanya Kijiji na hivyo kutoa mwanya kwa wengine kufungua hatimaye timu kuwa moto. Yule jr naye ni mtu na roboNitajie wengine huyo Neema ubora aliuacha Barcelona sa hivi kawa faken of ze faken
Kama wachezaji wenyewe wapo uwanjani na hawana uzalendo,Mimi nautoa wapi?Sasa hawa si washapita
Uzalendo uko wapi sasa?
Hao ndio uwezo wao. Brazil ndio show game ingawa watashindaCameroon nao wanacheza show game asee
Hahaha ngoja nicheke.Hujajua msaada wa Neymar kwa Brazil. Akishika mpira anakusanya Kijiji na hivyo kutoa mwanya kwa wengine kufungua hatimaye timu kuwa moto. Yule jr naye ni mtu na robo