Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutashiriki Hakika, tutakuwa na Striker wetu John Bocco, kiungo Jonas Mkude na mabeki wa kupanda kina Zimbwe na KapombeUmejaribu kaungalia vizuri mitambo yako kwenye hiyo 2026 sisi Tz hatupo kweli?
Bocco bado atakuwa anaenda sawa na muda?Tutashiriki Hakika, tutakuwa na Striker wetu John Bocco, kiungo Jonas Mkude na mabeki wa kupanda kina Zimbwe na Kapombe
Natamani wafungeHawa Brazil wanatafuta sifa ru, wote runajua hii mechi haina umuhimu wowote kwao
Anakaba balaaDaaah huyu Goalkeeper wa Cameroon jana itakuwa alilala makaburini.
Haswaa, atakuwa bado hajafika hata 50 yrsBocco bado atakuwa anaenda sawa na muda?
Wataondoka kesho ila wengi hawatarudi Ghana, wengi wataenda nchi walizokuwa wakifanyia kaziHivi Ghana saizi watakuwa wanaikaribia nchi gani katika safari yao ya kurejea kwao?
Wafunge Brazil tena?
Wanataka kutumia hizihizi buku zetu kulipia WC kwa DSTVTBC wazee wa mbungi mtonyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chupi siku hizi
Vijana wa siku izi mmeacha kuvaa chupi ndio maana zimenyooka kama rula, wake zenu wanatusumbua wazee wanataka zilizopinda.Chupi siku hizi wanavaa wazee
Wajinga hao swala la Chama sio la kuliwekea mjadalaNilipo umezuka ubishi mzito sana kati ya washabiki wa Chama na Morrison. Watu hawana muda na game inayoendelea
Imagine unamuona mwanaume kapiga suruali yake halafu kwa ndani chupi imejichoraVijana wa siku izi mmeacha kuvaa chupi ndio maana zimenyooka kama rula, wake zenu wanatusumbua wazee wanataka zilizopinda.
Hapa ni wazi unapenda zaidi brazil [emoji16]Naona kuna mbrazil mmoja hapa anavaa kibania nywele aingie..kila la heri Brazil kila la heri Cameroon mpate kibao hata kimoja