Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilipo umezuka ubishi mzito sana kati ya washabiki wa Chama na Morrison. Watu hawana muda na game inayoendelea
Wajinga hao swala la Chama sio la kuliwekea mjadala

Mi naangalia hii mechi naona kabisa Cameroon wamemkosa mtu kama Chama ili waweze kushinda halafu mtu huyo uje umfananishe na Morrison hiyo si aibu mzee?
 
Back
Top Bottom