Martinelli
- maamuzi sahihi pindi anapokuwa na mpira ndio yaongoze kipaji chake.
- Ameathiriwa na mpira wa ulaya a.k.a. mpira wa kufundishwa ubaoni.
- Martinelli tayari ameshapevuka kimpira wa ushindani barani ulaya, kwa maana ana uwezo wa kufanya kazi na kocha yeyote
Antony
- Anaamini Kipaji chake ndio kiongoze maamuzi yake pindi anapokuwa na mpira.
- Ameathiriwa na mpira wa uswahilini kwao, nikiwa na maana chenga za maudhi, dribbling na vyenginevyo kwake ni jambo la kawaida haijalishi yupo phase ipi ya uwanja.
- Anahitaji kufunzwa zaidi ili aweze kubalanzisha kipaji na maamuzi sahihi kwa wakati mmoja mfano wa gaucho.
Mawazo ya mwanadamu anayeishi katika nchi inayotegemea umeme wa mvua za masika