Mr posibility
Senior Member
- Sep 18, 2018
- 126
- 264
Cameroon kwaheri too Boeing ipo inanguruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani dog kabisa na mie nimo hukohuko😀Mliosema brazil afungwi mbwa wote nyinyi
Mkuu umechambua vizuri Sana, Antony Ni mtu wa hovyo sanaMartinelli
Antony
- maamuzi sahihi pindi anapokuwa na mpira ndio yaongoze kipaji chake.
- Ameathiriwa na mpira wa ulaya a.k.a. mpira wa kufundishwa ubaoni.
- Martinelli tayari ameshapevuka kimpira wa ushindani barani ulaya, kwa maana ana uwezo wa kufanya kazi na kocha yeyote
Mawazo ya mwanadamu anayeishi katika nchi inayotegemea umeme wa mvua za masika
- Anaamini Kipaji chake ndio kiongoze maamuzi yake pindi anapokuwa na mpira.
- Ameathiriwa na mpira wa uswahilini kwao, nikiwa na maana chenga za maudhi, dribbling na vyenginevyo kwake ni jambo la kawaida haijalishi yupo phase ipi ya uwanja.
- Anahitaji kufunzwa zaidi ili aweze kubalanzisha kipaji na maamuzi sahihi kwa wakati mmoja mfano wa gaucho.
Sealed imetoka kama ya Wananchi leoUnaumizwa na albarazil kugongwa mkuu.
Ndio.Nyekundu kwani alikuwa na njano?
Historia hiyo we uwezi elewa amekuwa mtu wa kwanza kutoka bara tofauti na ulaya na south america kuwaua brazili since kombe la dunia lianzishwe🙏🙏🙏🙏Kulikua na haja gani ya abubakar kuvua shati kweli manyani haya
Hili kombe la waarabu halitaki maufreemason kabisa lina aibisha vigogo hadharani.Sealed imetoka kama ya Wananchi leo