Style ya nywele tuNa mi nimejisemea hapa. Wana kama kaufanano flan ivi....
Ulishawahi kumtizama haaland na umri alio nao je vinaendana?Yan sijawah amin umr wa wachezaj weng wa Africa.
Ss Vincent kwl ana 30 dah.. Aya bana Sawa.
Cameroon hawezi kumfunga Brazil
Belgium ni taka taka. Ghana.ni takataka zilizokwisha kuozaHiki kikosi kinaweza ifunga timu yoyote duniani wakicheza serious, Brazil kikosi cha 5 nahisi kinatisha kuliko Ubeligiji ya sasa
Yaani jana ndio imecheza ile Cameroon hasa ya akina Patrick Mboma na R. SongHawa Cameroon wangekuwa hivi tangu game ya kwanza huenda nao wangefuzu. Game za mwanzo walikuwa utopolo kabisa
Ama kweliVipi matokeo huko,kombe la dunia safari hii hakuna kuja na matokeo yako mfukoni
Sidhani kama USA atamtoa Nerthelands..forward yao ukimtoa Pulisic hawana maajabu pale.Haiwezekani Netherland akamfunga USA
England hawaucheza kawaida walizidiwa
Utaona kesho hao Netherland kama watakuwa na mikazo ya kwenda second half bila kuongozwa
Vvd yupo kwenye timu isiyo na bahati na hili kombe. Kama kawaida Yao Uholanzi watafika mbali ila kubeba kombe ndio kitu wasahauSubiri uone vijana wetu akina VVD wanavyojenga ukuta pale nyuma.
Ulaya wanajiwekeaga timu nyingi, mpaka mchana wa jana walikuwa na Timu 7 imagine. Sasahivi bado kama 6 au 5Kombe la dunia la msimu huu kuna wezekano lisibaki Ulaya..Ila pia sitarβs Ajentina wakati Burazili wabebe..[emoji4][emoji4]
Hii burazili haitiboi robo fainal hakikaAma kweli
Ila hii Brazil sio 1st Eleven, mpaka Alves amewekwa
Hivi kwanini ulaya zinaingia timu nyingi? Yani wanatumia vigezo vipi?Ulaya wanajiwekeaga timu nyingi, mpaka mchana wa jana walikuwa na Timu 7 imagine. Sasahivi bado kama 6 au 5
Hata Fainali itafika. Tupo hapaHii burazili haitiboi robo fainal hakika
Sasa Furance kuna chezaji lolote la livakuku pale?Kwa kesho naziombea hizo.
Keshokutwa nitachagua tena za kuziombea
Ila maombi yangu yote ni Kwa Ufaransa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Vigezo wanavyoangalia ni performance za nchi husika katika soccer. FIFA wanasema wanaangalia bara ambalo nchi zake zimechukua WC zaidi hasa kwa siku za karibuniHivi kwanini ulaya zinaingia timu nyingi? Yani wanatumia vigezo vipi?
Ndiyo jeeeeMambo yakibaki hivi dakika tano za mwisho Eto afanye kazi yake kwa kuongea na viongozi wenzake wa Brazil issue imalizike chini ya Meza..., Hawa Brazil na Sisi Africa ndugu kabisa