Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afuzu nini?Cameroon wamefuzu [emoji41][emoji41][emoji856][emoji856]View attachment 2433972
Onyango mwaka juzi alicheza under 17 kule KenyaCameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?
Sisi tulivyocheza na Brazil walitufunga 5-1
Uholanzi yupo kijana wetu VVDSi kwasababu unaipenda Uholanzi ila ni kwasababu humkubali Messi
Bisha
Mbona Onyango kinda mdogo kabisa yule.Cameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afuzu nini?
Kuna mashindano mengine ambayo walikuwa wakishiriki tofauti na haya?
Mwendo wa bandika bandua mpaka utachukua hili kombeUholanzi yupo kijana wetu VVD
Timu yoyote yenye mchezaji wangu naiombea.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kombe ni la UfaransaMwendo wa bandika bandua mpaka utachukua hili kombe
Hahhahahah mkuu..UmenichekeshaAfuzu nini?
Kuna mashindano mengine ambayo walikuwa wakishiriki tofauti na haya?
Oya saizi haya mambo hayaendi kwa itifakiKombe ni la Ufaransa
Hako ka baabu ka Argentina ngoja kasindikize tu
USA kesho wanatokaOya saizi haya mambo hayaendi kwa itifaki
Si ulicheki kilichomkuta England kwenye game yake na USA
Hakuna mtu aliweza kutegemea England anaweza akafika time atamani mpira uishe
Haiwezekani Netherland akamfunga USAUSA kesho wanatoka
England walicheza kawaida tu ,hawakutaka kuforce.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Subiri uone vijana wetu akina VVD wanavyojenga ukuta pale nyuma.Haiwezekani Netherland akamfunga USA
England hawaucheza kawaida walizidiwa
Utaona kesho hao Netherland kama watakuwa na mikazo ya kwenda second half bila kuongozwa
Forgery Lile Babu la miaka 80 lilichezaje under 17!!??Onyango mwaka juzi alicheza under 17 kule Kenya
We waache mkuu wengi wanaodhan Spain kapata mteremko lbd wanafatilia Mpr Live Score.Kuna watu wanaangalia mpira kimazoea. Mpaka sasa timu bora ya hii michuano ni Morocco.
Sasa wewe unajitamba kwa mchezaji mmojaSubiri uone vijana wetu akina VVD wanavyojenga ukuta pale nyuma.
Hatuna Mbambamba [emoji91]Sasa wewe unajitamba kwa mchezaji mmoja
Wakati kina Sakha, Glerish na Rashford wote walikuwa wanacheza eneo moja na Maguire
We utanambia mkuu subiri muda uwadie uone venye haukuwa sahihi
Yan sijawah amin umr wa wachezaj weng wa Africa.Cameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?