Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

History imeandikwa
IMG_20221203_003359_733.jpg

Huwezi jizuia..
4174.jpg
 
Kuna watu wanaangalia mpira kimazoea. Mpaka sasa timu bora ya hii michuano ni Morocco.
We waache mkuu wengi wanaodhan Spain kapata mteremko lbd wanafatilia Mpr Live Score.

Morocco anaweza defend na Maisha yake yote usifunge kwl na akakuvizia counter ukafungwa ww... Spain iyo game kama wanajua mteremko wanaweza piga pass hata elfu 2 wasipate hata goal 1.

Vijana wa Milima ya Atlas ni balaa wanacheza mpr wa kimtoano sana wako very smart na strategic mno kuwatoa unatakiwa uwe smart kuwazid hesabu zao.

Na point yako ni ya ukwl. Had ss kwa team Performance wao kwny WC hii ndo team imecheza vzr game zote 3 kimkakat.
 
Back
Top Bottom