Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kombe halichukuliwi kwa hisia za ushabikiSasa Furance kuna chezaji lolote la livakuku pale?
Hawapo upande mmoja. Wanaweza kutana final tu.hio nadhani haiwezekani, kwa sababu hao wapo upande mmoja (road to final), ngoja nifuatilie
We yako iko wapi!!? tondoo...History za kipumbavu sana hizi
Sawa MamaWe yako iko wapi!!? tondoo...
Kufungwa ni kufungwa tu haijalishi kacheza nani!Uzuri Brazil tumefungwa bila Neymar wala VINI
Nyie Argentina mlifungwa na Messi akiwepo
Brazil bingwa [emoji119][emoji119]
Australia nipigie cha ugiriki paki basi [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri Brazil tumefungwa bila Neymar wala VINI
Nyie Argentina mlifungwa na Messi akiwepo
Brazil bingwa [emoji119][emoji119]
Australia nipigie cha ugiriki paki basi [emoji91][emoji91]
MajeruhiHivi umtiti yukwap sku hizi
Unataka kwenda BrazilNauli ya kwenda brasil from tzee ni pesa ngap?
NdioUnataka kwenda Brazil
Ohooo ndo maana smskii wala smwonMajeruhi
Lisemwalo lipo, kama halipo basi linakujaBado Kuna watu watasema brazil kauza match[emoji3][emoji3]
Safari njema mkuu [emoji119][emoji119]Ndio
Kibongobongo mngesema kapigwa misumariOhooo ndo maana smskii wala smwon
Anaenda kufuata mademu tuSafari njema mkuu [emoji119][emoji119]
Mbona hujanitajia nauli yake saSafari njema mkuu [emoji119][emoji119]
Nafata wanaumeAnaenda kufuata mademu tu