Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nauli ya kwenda brasil from tzee ni pesa ngap?
Screenshot_20221203-093015~2.png
 
Kuanza kucheza WC mapema sio mafanikio kwny soccer, zilianza timu nyingi....tunaangalia performance wise

Kama ilivyo kwa Ujerumani, Argentina, Brazil n.k

Hizo zimewahi kufika hata nusu fainali ya World Cup???
Una kichaa wewe Poland kwenye world ranking anashika nafasi ya 28 unasema ni team mbovu.

2017 alifika Hadi nafasi ya 5 unaleta story zako za kijiweni
 
Kumbe anadakia chama langu sema naipenda livapuli japo siifatilii
Safi sana[emoji91][emoji91][emoji91]
Anza kufuatilia sasa,haina Mbambamba.

Ila yule kipa wa Jana anaitwa Ederson.
Ni Golikipa wa Man City.

Wa Liverpool anaitwa Allison,alidaka mechi za mwanzo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana[emoji91][emoji91][emoji91]
Anza kufuatilia sasa,haina Mbambamba.

Ila yule kipa wa Jana anaitwa Ederson.
Ni Golikipa wa Man City.

Wa Liverpool anaitwa Allison,alidaka mechi za mwanzo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyo Allison mwenyewe mbona ni shati tu ,hujaona save alizofanya ederson .....
 
Back
Top Bottom