Kuanza kucheza WC mapema sio mafanikio kwny soccer, zilianza timu nyingi....tunaangalia performance wiseSerbia na Poland hawana historia ya soka ???
Acha kuchekesha wewe
Nauli ya kwenda brasil from tzee ni pesa ngap?
Kumbe sio ghali sana,shukran mkuu
Kenya tu sijawah fika huko Brazil najuaje nauli yake brooMbona hujanitajia nauli yake sa
Una kichaa wewe Poland kwenye world ranking anashika nafasi ya 28 unasema ni team mbovu.Kuanza kucheza WC mapema sio mafanikio kwny soccer, zilianza timu nyingi....tunaangalia performance wise
Kama ilivyo kwa Ujerumani, Argentina, Brazil n.k
Hizo zimewahi kufika hata nusu fainali ya World Cup???
Alooo kumbeNafata wanaume
Kumbe ni Pisi hyo aiseeAnaenda kufuata mademu tu
Kama hao utawakuta sinza wamejaa tele [emoji41][emoji41] acha kwenda Brazil njoo kitaani utawakuta tu[emoji39][emoji2088]View attachment 2434171
Sio pisiKumbe ni Pisi hyo aisee
Ah wapKama hao utawakuta sinza wamejaa tele [emoji41][emoji41] acha kwenda Brazil njoo kitaani utawakuta tu
Aloo ni Nani sasa [emoji848]Sio pisi
Amini ninayokwambia shemejiAh wap
Kumbe anadakia chama langu sema naipenda livapuli japo siifatiliiGilikipa wao Livakuku 🤣
Wee unape da rangi nyekundu🤣🤣🤣🤣Kumbe anadakia chama langu sema naipenda livapuli japo siifatilii
Jana alidaka yule pazia wa City[emoji23][emoji23][emoji23]Gilikipa wao Livakuku [emoji1787]
Sisi ndio tupo[emoji39][emoji2088]View attachment 2434171
Safi sana[emoji91][emoji91][emoji91]Kumbe anadakia chama langu sema naipenda livapuli japo siifatilii
Huyo Allison mwenyewe mbona ni shati tu ,hujaona save alizofanya ederson .....Safi sana[emoji91][emoji91][emoji91]
Anza kufuatilia sasa,haina Mbambamba.
Ila yule kipa wa Jana anaitwa Ederson.
Ni Golikipa wa Man City.
Wa Liverpool anaitwa Allison,alidaka mechi za mwanzo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app