Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatangazi mpira mpaka ushikwe na Messi[emoji23].Huyu mtangazaji wa tbc sijui amepewa bahasha na messi!
Mesi abbaabaa 🤣🤣🤣Amezidi khaaa ngoja nikalale
We nae hebu niache nimecheka kwanguvu wtoto wataota... 😀Mesi abbaabaa 🤣🤣🤣
Mwenyewe leo natoka baa sijui sangapi Nation team za South america ni ugonjwa wangu😀😀Yani Argentina wakifunga Leo ntalewa hadi nibebweee ntatoka hapa saa 12 asubuhi
Muha anaejikuta mwarabu
Namkumbuka huyuHivi yule Dogo Freddy Adu (So called the Next Pele aliishia wapi); alivyokuwa na miaka 14 alikuwa among the most paid players in US...., ila ndio hivyo tena...
Hajawahi kumbee
Muache apepee na shuka lake kama Masai wa ulaya
Umeanza kulewa wahi nyumbani panya road wasije wakakukabaMuache apepee na shuka lake kama Masai wa ulaya
Ila kiukweli kiwango cha kuchukulia kombe bado sijakiona
Sehemu kama zile mbona Chama tumemuona mara nyingi
Hawa sijui wanalichukuliaje hili kombe