Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Robo fainali ya nyokoh🀣
Wakienda itakuwa Kwa bahati mbaya tu.
Hawadeserve,,,
Kwanza yanapita Chocho halafu eti wanaota ubingwa!
Teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawa jamaa umewakinai mno haa haa πŸ˜‚πŸ˜‚..

Natamani wapite ili niendelee kusoma spana zako unazowashushia...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hureeeeee!
 
Teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawa jamaa umewakinai mno haa haa πŸ˜‚πŸ˜‚..

Natamani wapite ili niendelee kusoma spana zako unazowashushia...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa muda wao wa kupita vichochoroni umeishia hapa.
Subiri utaona mechi ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…