Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh teh 😂😂😂 hawa jamaa umewakinai mno haa haa 😂😂..Robo fainali ya nyokoh🤣
Wakienda itakuwa Kwa bahati mbaya tu.
Hawadeserve,,,
Kwanza yanapita Chocho halafu eti wanaota ubingwa!
Kanye gunzi.... Game imeisha tayari.. Ya kesho hamna anaeyajuaHatari Gani wakati Ufaransa tuna uhakika wa kombe😁
Huyo jamaa mwacheni ajitengue awezavyo ila kombe lililopo hapo Qatar wataishia kulichungulia hapohapo.
Watu wamejichora kama kuta za stendi ya mabasiMlianza akivuka makundi. Mkaja akivuka mtoano. Sasa mmeamia kwenye hatua inayofuata.
Huyu jamaa robo asiwekwe kabisa wacha aendelee kulamba benchi.Mara nyingi washambuliaji wana muangusha Messi, fainali na Ujerumani Higuain alipata pochi moja la wazi akakosa.
Martinez mapochi mawili anazingua, bora Alvares angeendelea.
Bora awe anapiga tu mwenyewe.Mara nyingi washambuliaji wana muangusha Messi, fainali na Ujerumani Higuain alipata pochi moja la wazi akakosa.
Martinez mapochi mawili anazingua, bora Alvares angeendelea.
Tuendelee kuitunza hii risiti ya October 11🙌🏽Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Hawa muda wao wa kupita vichochoroni umeishia hapa.Teh teh teh teh 😂😂😂 hawa jamaa umewakinai mno haa haa 😂😂..
Natamani wapite ili niendelee kusoma spana zako unazowashushia...😂😂😂
Kesho team Senegal mapemaaa sana nitakuwepo jukwaaaniKesho niko Poland na Senegal. Help me God