marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Hii habari ilivumishwa ili kuyumbisha wanaobet ukichukua hii habari ukijumlisha na historia ya michuano wakamaria wakaingia cha kikeKuna watu wanaumia sana hii World cup kufanyika Qatar,
So,kila siku wanazusha jambo baya dhidi ya Qatar,
Walijiandaa tu ili kama Qatar angeshinda waseme rushwa.