vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Giroud anakosa hapa
HairuhusiwiKounde, amevaa mkufu. Hivi inaruhusiwa mchezoni?
Unayotaka hayawiDeep down najua kuwa France are good but kuna kafeeling nataman Poland iwe Ihefu....
BishooKounde, amevaa mkufu. Hivi inaruhusiwa mchezoni?
Mapepe kibao hao ata mm niko live na nyagi kwa pembeni Niko Poland
Thats racismDaah Afcon wanasumbua wazungu
Ihefu rappa huyo.....Poland nao wasumbufu
Ndicho unachokiona na unachokiwaza.Thats racism
Uwezekano upo ndiyo.Wakuu mnaoangalia hii mechi ya France
Kuna uwezekano wa France kupigwa?
Maana siipendi Ufaransa[emoji57]