Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu sio ramli, kiukweli mchezo anaocheza Argentina ni wa kawaida kiasi akikutana na timu kama Nedherland, England, Spain huyo unamuhusudu hachomoki. Brazil ndio anatoa game tough sana huwezi fananisha na Argentina mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil [emoji1054] ipi unayoizungumzia?ambayo Copa America ilichukuliwa nyumbani kwao na Argentina [emoji1033]?
 
Back
Top Bottom