Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ngoja leo nijaribu kubeti nataka niweke 50000 kwamba Senegal anashinda.
kwa wenye ufahamu wa kubeti hii pesa nawekaje

Ngoja leo nijaribu kubeti nataka niweke 50000 kwamba Senegal anashinda.
kwa wenye ufahamu wa kubeti hii pesa nawekaje!?
 
Humu ndani naona ni mashabiki wa Argentina na wanaoiponda Argentina

WC ilianza na team 32 ila mshindi atakuwa mmoja na kila mmoja alikuwa na Uhuru wa kuchagua team aitakayo from very beginning

Pengine ni kweli Argentina hana uwezo wa kuchukua hii WC ukilinganisha na hao wengine muwatajao kama france, Brazil Mara Netherlands lakini sasa si uoneshe msimamo wako uko team gani Mani wewe?? Au upo team zote isipokuwa Argentina sio??

Maana makundi toka alivopigwa tu na saudia zikaanza kelele oooh hafuzu huyo mbovu wala hatoboi kwa Mexico na Poland kama kafungwa na saudia

Alivoshinda kwa Mexico, akawa kesha wa~prove wrong wengi tu humu, ila ukiwachunguza mashabiki wa mpira kwa makini utagundua wengi wetu wanafiki huwa hatukubali uhalisia, baada ya kushinda kwa Mexico hakuna aliekuja na maadhui humu ndani kuwa Argentina kakaza katu prove wrong bwana...Bali walisema kibonde huyo angalia team nzuri zitafuzu kwa point Tisa ila yeye atafuzu ila kwa taabu

Aya finally, hakuna team iliyofuzu kwa point Tisa hata zile walizosema zitafuzu kwa point tisa, bora hata France kipindi cha kwanza game ya mwisho alifanya changes ya watu Tisa kutoka kikosi cha pili walianza first eleven ila kipindi cha pili aliweka machine zake zote na bado alifungwa

Hao kina Spain, Portugal, German,na wengineo game ya mwisho walikamia na mashine zao zote ila bado walipoteza mchezo wao wa mwisho....hii ya maanisha mashindano haya yamebadilika na team nyingi hususani za Asia zimefanya mapinduzi makubwa ya mpira wala hazipo kama tulivokuwa tukizifahamu, imagine huyo saudia mwenyewe ana wachezaji wanaweza fika wanne wanaoanza first eleven, hivyo hata huyo saudia wala hayupo kama manovomjuwa wa huko nyuma

Huyo Netherlands wenu mnaempaa mapambio humu ndani mbona hakumfunga Qatar hata tano??? Na sote twajua Qatar ni team mbovu?? Teana Qatar alitoka na goal moja na alimfunga Netherlands kama hujui

Na Mara mwisho Argentina walivokutana na Netherlands niwakumbushe tu ilikiwa ni semi final WC 2014 na Argentina alimtoa

Simaanishi kuwa Argentina ni team nzuri sana kuliko kina France na wengineo au atachukua WC ila nataka nanyie muwekee msimamo wenu mpo team gani tuwajue sio kuwa team yeyote isipokuwa Argentina hiyo ni sifa ya kutokuwa na msimamo na sifa amabyo imekaa kike kike hivi
Watanzania wengi tuna dalili za uchawi ni basi tu shetani hajathibitisha kitaalam
 
Netherlands wana kipi cha ajabu kuliko Argentina? Hivi Argentina mnawachuliaje mazee! Ecuador tu aliwapa game tough hao wadachi,hata jana walipigiwa mpira mkubwa tu USA licha ya kushinda.Hata huyo netherlands akifungwa bado mtaomba akutane na mwingine na mpaka final hivyo.
[emoji23][emoji23] mkuu kwa iyo Ecuador ndio kipimo kwamba Nedherland ni mbovu kwakua walitoa sare? Vipi tukitumia Saudi Arabia ndio kiwe kipimo cha ubovu wa Argentina kwa sababu walichabangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom