Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ngoja leo nijaribu kubeti nataka niweke 50000 kwamba Senegal anashinda.
kwa wenye ufahamu wa kubeti hii pesa nawekaje!?
 
We jamaa vipi wewe! Khaaa! Korea na Japan wameingia kimchongo?! Yaan kivipi yaan... hebu tuchambulie kauli yako uliyoitoa bila kufikiri kwa shinikizo la mapenzi kwa baadhi ya mataifa au nchi(timu) na hasira za kijinga na chuki za hovyo dhidi ya mataifa(timu fulani)... je! Brazil akifungwa tena na Korea akatolewa utakuwa bado ni mchongo endelevu?! [emoji2]

Hayo mambo ya michongo na kubebana sijui kubebwa yalikuwaga zamani huenda kwa sababu teknolojia haikuwa imekuwa kama sasa. Kwa mfano:- enzi za kina Maradona kuna game ilipigwa kwenye michuano hii hii ya Kombe la dunia, Argentina walikuwa wanakipiga na England jamaa akafunga goli la mkono na england wakatoka baadae sana kwenye vyumba maalum walipokuwa wana-review au kupitia video kwa umakini wa hali ya juu na zooming za kutosha wakagundua jamaa alishika na game ilikuwa ngumu kwelikweli upande wa Argentina lakini kwa sababu ilikuwa ishapita watu wakafunika kombe mwanaharamu apite na England wakakausha. Vilevile mnamo mwaka 2010 nchini Afrika kusini ilipigwa game kati ya Germany na England, Mbugi ilikuwa sio ya kawaida... Germany akatangulia kupata bao moja, dakika chache England wakachomoa.... Germany wakaongeza, England wakapambana Frank Lampard akachomoa tena bonge la Bao nyuzi tisini... iligonga mwamba wa juu ikadundia ndani ya chaki ila kipa wa Germany akatoa nje ila ilikuwa ishaingia na Refa akasemaga sio goli ile iliwakata mood sana Waingereza na wakawa washasusa wakawa wanacheza ilimradi tu na kususa kule mwisho wa siku kukawafanya wakafa bao nne kwa moja (4-1) hatua ya 16 bora... england wakaenda kwao. Sasa yote hayo yalikuwa yakiendelea kwa sababu teknolojia ilikuwa haijaendelea kama sasa ndo mana ikaletwa "VAR"..., "AAR" n.k kwa hiyo kila kinachoendelea kwenye soka saiv hakuna Janjajanja wala michongo. Futa mawazo ya kiafrika hayo.
Mwisho wa yote ni kuwa Japan na Korea ni timu dhaifu zimezoingia kimchongo 16 Bora na soon wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko ......

Tulio angalia mpira tuliona ,Kama wewe umekaza fuvu kimpango wako

NI hivo tu .....
 
Aisee we jamaa una utoto mwingi sana, sijui huwa unajisikiaje kuwa online na kuandika mambo za kipuuzi namna hii. Hii ndio ile id ya FK kama sikosei. Una ujinga mwingu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwisho wa yote ni kuwa Japan na Korea ni timu dhaifu zimezoingia kimchongo 16 Bora na soon wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko ......

Tulio angalia mpira tuliona ,Kama wewe umekaza fuvu kimpango wako

NI hivo tu .....
Dahh! We jamaa akili yako ishaoza na ukoloni na kukolonika... anyways subiri utaona.
 
Mwisho wa yote ni kuwa Japan na Korea ni timu dhaifu zimezoingia kimchongo 16 Bora na soon wanaenda kuchezea kichapo cha mbwa Koko ......

Tulio angalia mpira tuliona ,Kama wewe umekaza fuvu kimpango wako

NI hivo tu .....
Unaposema kimchongo una maana gani?
 
Hii draft yako umekosea, huu upande wa moroco na spain wanatakiwa wakae japan na croatia
Thanks
World Cup Qatar 2022 Updated Bracket on 41222.jpg
 
Humu ndani naona ni mashabiki wa Argentina na wanaoiponda Argentina

WC ilianza na team 32 ila mshindi atakuwa mmoja na kila mmoja alikuwa na Uhuru wa kuchagua team aitakayo from very beginning

Pengine ni kweli Argentina hana uwezo wa kuchukua hii WC ukilinganisha na hao wengine muwatajao kama france, Brazil Mara Netherlands lakini sasa si uoneshe msimamo wako uko team gani Mani wewe?? Au upo team zote isipokuwa Argentina sio??

Maana makundi toka alivopigwa tu na saudia zikaanza kelele oooh hafuzu huyo mbovu wala hatoboi kwa Mexico na Poland kama kafungwa na saudia

Alivoshinda kwa Mexico, akawa kesha wa~prove wrong wengi tu humu, ila ukiwachunguza mashabiki wa mpira kwa makini utagundua wengi wetu wanafiki huwa hatukubali uhalisia, baada ya kushinda kwa Mexico hakuna aliekuja na maadhui humu ndani kuwa Argentina kakaza katu prove wrong bwana...Bali walisema kibonde huyo angalia team nzuri zitafuzu kwa point Tisa ila yeye atafuzu ila kwa taabu

Aya finally, hakuna team iliyofuzu kwa point Tisa hata zile walizosema zitafuzu kwa point tisa, bora hata France kipindi cha kwanza game ya mwisho alifanya changes ya watu Tisa kutoka kikosi cha pili walianza first eleven ila kipindi cha pili aliweka machine zake zote na bado alifungwa

Hao kina Spain, Portugal, German,na wengineo game ya mwisho walikamia na mashine zao zote ila bado walipoteza mchezo wao wa mwisho....hii ya maanisha mashindano haya yamebadilika na team nyingi hususani za Asia zimefanya mapinduzi makubwa ya mpira wala hazipo kama tulivokuwa tukizifahamu, imagine huyo saudia mwenyewe ana wachezaji wanaweza fika wanne wanaoanza first eleven, hivyo hata huyo saudia wala hayupo kama manovomjuwa wa huko nyuma

Huyo Netherlands wenu mnaempaa mapambio humu ndani mbona hakumfunga Qatar hata tano??? Na sote twajua Qatar ni team mbovu?? Teana Qatar alitoka na goal moja na alimfunga Netherlands kama hujui

Na Mara mwisho Argentina walivokutana na Netherlands niwakumbushe tu ilikiwa ni semi final WC 2014 na Argentina alimtoa

Simaanishi kuwa Argentina ni team nzuri sana kuliko kina France na wengineo au atachukua WC ila nataka nanyie muwekee msimamo wenu mpo team gani tuwajue sio kuwa team yeyote isipokuwa Argentina hiyo ni sifa ya kutokuwa na msimamo na sifa amabyo imekaa kike kike hivi
 
Cornwallis soma maelezo hayo na soma kwa makini mataifa ya Asia yanavyozungumzwa kwa soka lao kwa sasa... sio unaongea kwa mihemko tu.
 
Hakika sio washinde ndo wengne waanze kujitokeza.. Tujuane mapema ili sik iyo mmoja aende nymbn mapema.

Vamoooooooossss[emoji1033]
Sa itakuwaaje.....Mimi nipo kwenye wakati mgumu Sana 😂😂😂
Netherlands ni chama langu tangu 2010 kule south..
Ila Argentina naipenda ( of course nimekuwa inspired Sana na Messi)
Maombi yenu tafadhali😂😂
 
Humu ndani naona ni mashabiki wa Argentina na wanaoiponda Argentina

WC ilianza na team 32 ila mshindi atakuwa mmoja na kila mmoja alikuwa na Uhuru wa kuchagua team aitakayo from very beginning

Pengine ni kweli Argentina hana uwezo wa kuchukua hii WC ukilinganisha na hao wengine muwatajao kama france, Brazil Mara Netherlands lakini sasa si uoneshe msimamo wako uko team gani Mani wewe?? Au upo team zote isipokuwa Argentina sio??

Maana makundi toka alivopigwa tu na saudia zikaanza kelele oooh hafuzu huyo mbovu wala hatoboi kwa Mexico na Poland kama kafungwa na saudia

Alivoshinda kwa Mexico, akawa kesha wa~prove wrong wengi tu humu, ila ukiwachunguza mashabiki wa mpira kwa makini utagundua wengi wetu wanafiki huwa hatukubali uhalisia, baada ya kushinda kwa Mexico hakuna aliekuja na maadhui humu ndani kuwa Argentina kakaza katu prove wrong bwana...Bali walisema kibonde huyo angalia team nzuri zitafuzu kwa point Tisa ila yeye atafuzu ila kwa taabu

Aya finally, hakuna team iliyofuzu kwa point Tisa hata zile walizosema zitafuzu kwa point tisa, bora hata France kipindi cha kwanza game ya mwisho alifanya changes ya watu Tisa kutoka kikosi cha pili walianza first eleven ila kipindi cha pili aliweka machine zake zote na bado alifungwa

Hao kina Spain, Portugal, German,na wengineo game ya mwisho walikamia na mashine zao zote ila bado walipoteza mchezo wao wa mwisho....hii ya maanisha mashindano haya yamebadilika na team nyingi hususani za Asia zimefanya mapinduzi makubwa ya mpira wala hazipo kama tulivokuwa tukizifahamu, imagine huyo saudia mwenyewe ana wachezaji wanaweza fika wanne wanaoanza first eleven, hivyo hata huyo saudia wala hayupo kama manovomjuwa wa huko nyuma

Huyo Netherlands wenu mnaempaa mapambio humu ndani mbona hakumfunga Qatar hata tano??? Na sote twajua Qatar ni team mbovu?? Teana Qatar alitoka na goal moja na alimfunga Netherlands kama hujui

Na Mara mwisho Argentina walivokutana na Netherlands niwakumbushe tu ilikiwa ni semi final WC 2014 na Argentina alimtoa

Simaanishi kuwa Argentina ni team nzuri sana kuliko kina France na wengineo au atachukua WC ila nataka nanyie muwekee msimamo wenu mpo team gani tuwajue sio kuwa team yeyote isipokuwa Argentina hiyo ni sifa ya kutokuwa na msimamo na sifa amabyo imekaa kike kike hivi
Ukweli ni kwamba timu zetu za Africa ndizo zinazotufanya tutangetange. Wengi humu wangependa kushabikia Senegal au hata Morocco Senegal wakishindwa. Pia tungependa kushabikia Cameron au Ghana lakini ndio hizo huwezi kubet kwao. Sasa majority humu wamebaki kama watoto yatima kazi yao moja ni kukosoa tu au kushabikia tu timu zingine hata kama hawana mapenzi nazo ili tu zile timu wanazozichukia zishindwe.

Asilimia kubwa humu wanazishabikia timu za Amerika ya Kusini ukiondoa timu za Africa. Ya kw3anza ikiwa Brazili, pili Argentina na zikafuata zingine
 
Hio haibadilishi kuwa Japan na Korea ni weak team zimezopita kihuruma huruma tu kwenda 16 Bora ,kiufupi hata wao hawajui kwanin wamefika hatua ile,world cup haina bahati ....hivyo Basi hawa wanaenda kupigika mpaka wachakae Kama huyo Korea masikin ya Mungu sijui kamfuata Brazil wa nin [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....

Bora hata Senegal ,japo na yeye mwisho wake ni leo.....
....
Timu zote za Asia ni weak teams zimepita kibahati tu na anayebahatisha huwa hafiki mbali
 
Back
Top Bottom