Humu ndani naona ni mashabiki wa Argentina na wanaoiponda Argentina
WC ilianza na team 32 ila mshindi atakuwa mmoja na kila mmoja alikuwa na Uhuru wa kuchagua team aitakayo from very beginning
Pengine ni kweli Argentina hana uwezo wa kuchukua hii WC ukilinganisha na hao wengine muwatajao kama france, Brazil Mara Netherlands lakini sasa si uoneshe msimamo wako uko team gani Mani wewe?? Au upo team zote isipokuwa Argentina sio??
Maana makundi toka alivopigwa tu na saudia zikaanza kelele oooh hafuzu huyo mbovu wala hatoboi kwa Mexico na Poland kama kafungwa na saudia
Alivoshinda kwa Mexico, akawa kesha wa~prove wrong wengi tu humu, ila ukiwachunguza mashabiki wa mpira kwa makini utagundua wengi wetu wanafiki huwa hatukubali uhalisia, baada ya kushinda kwa Mexico hakuna aliekuja na maadhui humu ndani kuwa Argentina kakaza katu prove wrong bwana...Bali walisema kibonde huyo angalia team nzuri zitafuzu kwa point Tisa ila yeye atafuzu ila kwa taabu
Aya finally, hakuna team iliyofuzu kwa point Tisa hata zile walizosema zitafuzu kwa point tisa, bora hata France kipindi cha kwanza game ya mwisho alifanya changes ya watu Tisa kutoka kikosi cha pili walianza first eleven ila kipindi cha pili aliweka machine zake zote na bado alifungwa
Hao kina Spain, Portugal, German,na wengineo game ya mwisho walikamia na mashine zao zote ila bado walipoteza mchezo wao wa mwisho....hii ya maanisha mashindano haya yamebadilika na team nyingi hususani za Asia zimefanya mapinduzi makubwa ya mpira wala hazipo kama tulivokuwa tukizifahamu, imagine huyo saudia mwenyewe ana wachezaji wanaweza fika wanne wanaoanza first eleven, hivyo hata huyo saudia wala hayupo kama manovomjuwa wa huko nyuma
Huyo Netherlands wenu mnaempaa mapambio humu ndani mbona hakumfunga Qatar hata tano??? Na sote twajua Qatar ni team mbovu?? Teana Qatar alitoka na goal moja na alimfunga Netherlands kama hujui
Na Mara mwisho Argentina walivokutana na Netherlands niwakumbushe tu ilikiwa ni semi final WC 2014 na Argentina alimtoa
Simaanishi kuwa Argentina ni team nzuri sana kuliko kina France na wengineo au atachukua WC ila nataka nanyie muwekee msimamo wenu mpo team gani tuwajue sio kuwa team yeyote isipokuwa Argentina hiyo ni sifa ya kutokuwa na msimamo na sifa amabyo imekaa kike kike hivi