Ndivyo lilivyo bao la kwanzaMpira umepooza sasa baada ya goli kuingia.
Kesho atakuwepo piaGood news kwa Brazil fans
Neymar is free from injury na ameshajiunga na wenzake training
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah we jamaa vp!Kwani hii Game DSTV wanaonesha?
Halafu nafasi zao aingie nani na nani?So far,
Tchuameni hajaperform vema. Griezman pia.
Nategemea kipindi cha pili wapumzike.
Naam.. game zote zinaonyeshwa. Siyo tibisiii.Kwani hii Game DSTV wanaonesha?
Hahahah
Ufaransa leo wachezaji ni Tchouameni, Kounde na Dembele broohUfaransa mbappe akibanwa vzr kule mbele watapata shida sana